Haya yalio tokea kenya yawe fundisho kwetu Tz kwani hao wasomali wao ndio walio wakaribisha.Sasa kwa upande wa Tz vikundi hivi vipo ila vinaonekana bado malengo yao yanatatofautiana.wanaomwagia watu tindikali,walio lipua kanisa.walio lipua bomu kwenye mkutano Arusha.wanaoteka magari ya abiria mikoa ya magharibi Na wabaya zaidi ni hawa wanaofanya maandamano ijumaa na mazoezi misikitini.Serikali ichukue hatua.