mimi napata mashaka kama kweli Serikali imeshindwa kuwakamata wanaofanya ujinga huo! ni ngumu kuamini hivyo vinginevyo vitendo hivyo vina mkono wa baadhi ya wakubwa Serikalini!
Haya yalio tokea kenya yawe fundisho kwetu Tz kwani hao wasomali wao ndio walio wakaribisha.Sasa kwa upande wa Tz vikundi hivi vipo ila vinaonekana bado malengo yao yanatatofautiana.wanaomwagia watu tindikali,walio lipua kanisa.walio lipua bomu kwenye mkutano Arusha.wanaoteka magari ya abiria mikoa ya magharibi Na wabaya zaidi ni hawa wanaofanya maandamano ijumaa na mazoezi misikitini.Serikali ichukue hatua.

Hivi unamkamata vipi Polisi?

Tanzania Tuna Ustadh Ilunga.
Cheki hiyo clip hapo chini
Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
Yupo tu nadhani mpaka kwanza yatokee mauaji.