Vikundi vya muziki mbalimbali viliyotamba enzi hizo

Vikundi vya muziki mbalimbali viliyotamba enzi hizo

Los santos

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2021
Posts
1,167
Reaction score
2,591
Kwa Tanzania Wangapi mnawakumbuka kikundi cha EAST COAST enzi hizo wanatamba na kina GK,AY Mwana FA , Pauline zongo, Snea etc kwakweli Dunia ya Sasa hivi Kuna uchache sana wa vikundi vya muziki vinavyotikisa ndani au nje ya nchi iwe Tanzania au nje ya Africa

Mfano wa vikundi mbali vilivyotamba duniani au Kwa nchi husika ni kama:-

Boney M
Boyz 2 men
The Beatles
Kool & the gang
Destiny's child
East coast team-Tanzania
Westlife
G unit
Gangwe mobb
Mobb deep
Solid ground family -tanzania
Wagosi wa kaya-tanzania
Mafikizolo-south Africa
Makoma- Congo DRC/Belgium

List nyingine unaweza ongezea
 
Daz Nundaz
 
Back
Top Bottom