samwel william
New Member
- May 2, 2014
- 2
- 1
Habar wapendwaa, leo nataka nishare na nyie changamoto iliyopo kwa sasa ukitaka kupata leseni ya udereva hasa kwa class C na E, nipasua kichwaaaa.
Mimi ni dereva, leseni yangu iliisha muda nilikua nataka kuongeza mdaraja nipate C na hapa nimesoma veta course ya PSV ila balaa mfumo waliouweka sasa akianani unaweza jutaaaa.
Twende sawa hapa kwanza maombi yako yanaenda kwa RTO, hapo ndio balaa linaanza ukipeleka leo unaambiwa njoo kesho kesho unakuta siku iyo RTO hajapitia barua yako watakwambia njoo kesho, iyo keshokutwa RTO anakwambia hadi maombi yaende kwa RPC unakuta siku 4 zimekatiaka.
Baada ya hapo maombi yanarudi toka kwa RPC unaambiwa nenda kwa vehicle unakuta barua yako kule, hapa nikajua sasa ndio muda wa maombi yangu kupasishwa, nafika kwa vehicle unaambiwa inabidi uende tena kwa RTO akuone tenaa ana kwa ana.
Unaenda kule RTO anakwambia maombi yako yanaenda ofisi ya RPC Uende kule ukaonane na wahusika ana kwa ana wakuhoji ukirudi ndio tukufanyie testing ndio upitishiwe maombi yako haya. Kwa namna hii mpo waombaji 100+ si itachukua miezi na RTO ni mmoja bila huyo hujatoboa atawaona wangapi na ukifika anamajukumu mengi, maana hayupo pale kwa ajaili ya watu wa leseni tu na shida wanavikao vingi akianza kuhudumia watu ni sa 5 au sa 7 au unaambiwa yupo kwenye kikao atarudi sa 10 ndio mje.
Haya tuendelee.. barua imefika ofisi ya RPC anaehusika na kuyapokea nae anakwambia sbr utapigiwa simu mpaka sasa napiga sim naambiwa viongozi wapo bsy wiki ya 2 inakatika inaenda ya 3.
Nataka kusemaje hapa, serikali iliangalie upya ili swala linaumiza mnoo, tunajua wanampango mzuri sana kuondoa upatikanaji wa leseni za kimagumashi ila kwa huu mlolongo hapana siju nani kawashauri, picha inayokuja hapa wahusika wanaweza wakawa wanakuzungusha ili mradi tu utoe hongo. Sasa imagine uhonge kwa RTO, uhonge kwa RPC uhonge Vehicle, na hapa naongelea ni wale wanaopokea barua mbadala na viongozi husika na ukichek kwa mlolongo hu kila mtu anataka aleee tutafika kweli?
Nimekizi vigezo na hela tutoe kila department si mtatuua, na hii wameona mfumo wa zamani uliwanufaisha mavehicle pekeyako kwa iyo mtu kupata leseni kila ofisi husika ilee is not fair na si suluu ya kutusaidia bali kutuchelewesha tutakua tunashinda ofisi zao kama hatuna kazi? Yan wik 3 unasbr leseni ipitishwe, kwa nn wasitoe uu mlolongo wa kuonana na kila ofisi za polisi, nina vyeti nakizi vigezo malizeni kila kitu niiteni kutest mjirizishe mnipe leseni yangu.
Tuna madereva wangapi nchi hii yani kila dereva akitaka leseni aonanane na RTO na ofisi ya RPC kama hawana kazi zingine za kufanya wafanye ivyooo shida uyo kiongozi anamambo mengi ukienda we ni nothing kama alikua na wageni mnaambiwa sbr kwa siku sidhan kama anaweza hudumia watu 20 swala bado linarudi ataonana na kila dereva anaehitaji leseni? Tupo wangapi nchi hii? RTO ofisi ya RPC ni watu mkubwa kwa ngazi ya mkoa kwa nini wasideal na ukaguzi wa vyeti tu atie sain virudi kwa vehicle watu wapewe leseni wataonana na wangapi nchi hii?
Nchi inahitaji watu wenye kulisaidia taifa kurahisisha vitu vidogo kama ivi tunapata wasi wasi na maamuzi yanayotolewa bila kujali walaji makosa ya kutoa leseni za hovyo mlisha yafanya msiumize watu mkizani kila kitu mnachoamua kipo sawa, mkubali mlitoa leseni za hovyoo mnakuja kupiga rungu kwa raia.
NIMEMALIZAA.

Upvote
5