profesawaaganojipya JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 1,595 Reaction score 3,416 Sep 5, 2022 #1 Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Italy, amesema vikwazo dhidi ya Urusi havina maana, maana Urusi haiathiriki pakubwa kulinganisha na walioiwekea vikwazo(Ulaya).
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Italy, amesema vikwazo dhidi ya Urusi havina maana, maana Urusi haiathiriki pakubwa kulinganisha na walioiwekea vikwazo(Ulaya).
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Sep 5, 2022 #2 Kuna muda saa mbovu inasema ukweli Putin is genius
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,569 Reaction score 24,812 Sep 5, 2022 #3 Uku Urusi hatufahamu kabisa Kama nchi ipo kwenye vikwazo.