Mwaka jana 2019 Waziri wa Mifugo na Uvuvi alipiga marufuku hiuingizaji wa holela wa maziwa. Aidha kodi ziliongezwa maradufu.Kuna maziwa ya unga yanauzwa kwa kupima kwenye maduka ya mangi mtaani .....yanadaiwa yanatoka Uganda.....kwenye hii video naona amesema hata huko Kenya yamejazana kutoka Uganda.
Mwaka jana 2019 Waziri wa Mifugo na Uvuvi alipiga marufuku hiuingizaji wa holela wa maziwa. Aidha kodi ziliongezwa maradufu.