mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Uvamizi wa nchi ya Ukraine uliofanywa na Urussi umeshuhudia vikwazo lukuki vikiwekwa na nchi za magharibi dhidi ya Urusi.
Kwa wale tuliokuwa watu wazima miaka ya 70 na 80 (akiwemo bwashee) watakumbuka nchi hizo za magharibi zilikataa katakata kuweka vikwazo dhidi ya Afrika Kusini iliyokuwa ikitekeleza sera ya ubaguzi wa rangi katika utawala wake.
Sababu waliokuwa wakiitoa ilikuwa kwamba vikwazo hivyo vingeumiza watu wa kawaida. Hapa najiuliza kwani hakuna watu wa kawaida huko Ukraine? Ama kweli nchi za magharibi zina double standard!