mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Kwani Ukraine ndo imewekewa vikwazo?Hapa najiuliza kwani hakuna watu wa kawaida huko Ukraine?
Nakazia tena "warusi wa tanzania" ambao wako tandale huko wanashabikia vita wasiyo ijua.Wananchi wa Urusi Kwa maelfu wanaandamana kupinga uvamizi unaofanywa na kubwa jinga Put-in kwa Ukraine, ila ajabu Warusi wa Tanzania wanaunga mkono huo uhuni!
😂😂Nakazia tena "warusi wa tanzania" ambao wako tandale huko wanashabikia vita wasiyo ijua.
TakbiiirUvamizi wa nchi ya Ukraine uliofanywa na Urussi umeshuhudia vikwazo lukuki vikiwekwa na nchi za magharibi dhidi ya Urusi.
Kwa wale tuliokuwa watu wazima miaka ya 70 na 80 (akiwemo bwashee) watakumbuka nchi hizo za magharibi zilikataa katakata kuweka vikwazo dhidi ya Afrika Kusini iliyokuwa ikitekeleza sera ya ubaguzi wa rangi katika utawala wake.
Sababu waliokuwa wakiitoa ilikuwa kwamba vikwazo hivyo vingeumiza watu wa kawaida. Hapa najiuliza kwani hakuna watu wa kawaida huko Ukraine? Ama kweli nchi za magharibi zina double standard!