Nimeanza nn tena jamanMh! Ushaanza Demiss wewe ...
Si huko kugawa vitumbua! Na vijimaneno vyako vya kimahaba mahaba ....Nimeanza nn tena jaman
Mwanamke shart uwe na mahaba kumvutia mpenzi wako mkuuuSi huko kugawa vitumbua! Na vijimaneno vyako vya kimahaba mahaba ....
Sasa usipendelee na ss tunataka ati[emoji12]Mwanamke shart uwe na mahaba kumvutia mpenzi wako mkuuu
[emoji23][emoji23]poyeee basiSasa usipendelee na ss tunataka ati[emoji12]
Santeeeee[emoji23][emoji23]poyeee basi
Nashukuru kwa kulijua hili. Km ana uwezo wa kumpa laki5 kwa wiki mbona ana uwezo wa kuoa wake wa4 kwa mpigo??? Eti bado hajajipangaHapa Mdogo wangu ndio uliniponipa chai ya saa sita na hili joto duuh!
Ha ha ha ha chai nyengne inabd tuvumilie tuNashukuru kwa kulijua hili. Km ana uwezo wa kumpa laki5 kwa wiki mbona ana uwezo wa kuoa wake wa4 kwa mpigo??? Eti bado hajajipanga
BeiraHivi yule mwandishi wa kitabu cha 'nchi ya kusadikika' anaitwa nani?
Angalia kwanza hii topic ni ya lin afu ndo uje mzee baba uulize kama yeye kacopy au mimi ndo nimecopy