kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
ok nimeiona nafikiri huyo jamaa alikucopy ila ww jamaa kwa gahawa nomaa[emoji2][emoji2][emoji2]Angalia kwanza hii topic ni ya lin afu ndo uje mzee baba uulize kama yeye kacopy au mimi ndo nimecopy
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mpige chini mazima anakutafutia timing ya kukuliza na hata ikibidi akumalize. Ameshapata mchaga mwenzake.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
story iko hivi kuna demu mmoja bhana nimekuwa naye kwenye love kwa mda wa mwaka mmoja na nusu, kwa mda wote huo ambao nimekuwa naye nimekuwa nikimtimizia kila kitu kuanzia haja za kimwili yaan kumpiga miti na shida zake mbali mbali kama pesa za nguo na mapochopocho ya hapa na pale.
Ebhana ee si juz juz ndan ya mwez huu akanambia mimi namchezea wala sina lengo la kumuoa hivyo tuachane na inabidi kunipa papuch kwa sasa had nipeleke barua ya uchumba home kwao, mimi nikamwambia ukweli tu ni kwamba kwa sasa bado sijajipanga hivyo inabidi asubir mwaka huu uishe ndo nitaenda home kwao mara akabadili akadai anataka kusafil kwenda home kilimanjaro kapata kazi nikaona huyu binti anataka kunipanda kichwan ngoja nimufanyie umafia wa hapa na pale
Kuna vitu kibao ambavyo nilikuwa nimemunulia kama simu, laptop gar aina ya alteza na kila week nilikuwa namtumia kias cha kama laki tano za matumiz hasa ya saloon kutengeneza nywele na kuweka kucha, bill zote hizo nilikuwa nagharamia kwakuwa kwanza nina pesa afu nilikuwa namuthamin kama mchumba wangu
Sasa juzi akanipigia cm akanambia gar imeharibika baada ya kunambia hivyo nikajua tiar hii ndo njia ya kuchukua gar yangu nikwambia aje na laptop maana nataka kuhamisha nyimbo za kisukuma ambazo niliziacha humo ndan ya laptop pia nikamwambia asisahau kuja na ile cm nataka nije nichukue baaz ya picha ambazo nilizihifadh humo
Akaleta gar nikaweka ndan laptop pia nikachukua na cm yangu nikachukua pia nikamwambia hivi vitu vyote utavichukua siku nikija kwenu kujitambulisha. AKABAKI NA KASIMU KAKE KA NOKIA KA TOCH NA AKAENDA KUPANDA BAJAJI HAJI KWAO
Jana kanipigia cm analia lia anasema amemisi gegedo na ile safari ya kwenda kwao kilimanjaro kufanya kaz kasitisha hivyo anabaki hapa hapa dar na anadai kwa sasa ananipenda sana kushinda siku zote na hatak tuachane alikuwa ananitania sijui mara juz kaniota tumefunga ndoa na blabla kibao.
DEMU AKIZINGUA MUWEKEE VIKWAZO VYA KIMAREKAN UMUONE ANAVYOKUJA KUOMBA POO MWENYEWE
LONDON BOY
Ahahaaaa mkuu hii ni true story wala siyo gahawaok nimeiona nafikiri huyo jamaa alikucopy ila ww jamaa kwa gahawa nomaa[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuuHuyo mpige chini mazima anakutafutia timing ya kukuliza na hata ikibidi akumalize. Ameshapata mchaga mwenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti laki 5 kwa week thubutuuu yako;Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
story iko hivi kuna demu mmoja bhana nimekuwa naye kwenye love kwa mda wa mwaka mmoja na nusu, kwa mda wote huo ambao nimekuwa naye nimekuwa nikimtimizia kila kitu kuanzia haja za kimwili yaan kumpiga miti na shida zake mbali mbali kama pesa za nguo na mapochopocho ya hapa na pale.
Ebhana ee si juz juz ndan ya mwez huu akanambia mimi namchezea wala sina lengo la kumuoa hivyo tuachane na inabidi kunipa papuch kwa sasa had nipeleke barua ya uchumba home kwao, mimi nikamwambia ukweli tu ni kwamba kwa sasa bado sijajipanga hivyo inabidi asubir mwaka huu uishe ndo nitaenda home kwao mara akabadili akadai anataka kusafil kwenda home kilimanjaro kapata kazi nikaona huyu binti anataka kunipanda kichwan ngoja nimufanyie umafia wa hapa na pale
Kuna vitu kibao ambavyo nilikuwa nimemunulia kama simu, laptop gar aina ya alteza na kila week nilikuwa namtumia kias cha kama laki tano za matumiz hasa ya saloon kutengeneza nywele na kuweka kucha, bill zote hizo nilikuwa nagharamia kwakuwa kwanza nina pesa afu nilikuwa namuthamin kama mchumba wangu
Sasa juzi akanipigia cm akanambia gar imeharibika baada ya kunambia hivyo nikajua tiar hii ndo njia ya kuchukua gar yangu nikwambia aje na laptop maana nataka kuhamisha nyimbo za kisukuma ambazo niliziacha humo ndan ya laptop pia nikamwambia asisahau kuja na ile cm nataka nije nichukue baaz ya picha ambazo nilizihifadh humo
Akaleta gar nikaweka ndan laptop pia nikachukua na cm yangu nikachukua pia nikamwambia hivi vitu vyote utavichukua siku nikija kwenu kujitambulisha. AKABAKI NA KASIMU KAKE KA NOKIA KA TOCH NA AKAENDA KUPANDA BAJAJI HAJI KWAO
Jana kanipigia cm analia lia anasema amemisi gegedo na ile safari ya kwenda kwao kilimanjaro kufanya kaz kasitisha hivyo anabaki hapa hapa dar na anadai kwa sasa ananipenda sana kushinda siku zote na hatak tuachane alikuwa ananitania sijui mara juz kaniota tumefunga ndoa na blabla kibao.
DEMU AKIZINGUA MUWEKEE VIKWAZO VYA KIMAREKAN UMUONE ANAVYOKUJA KUOMBA POO MWENYEWE
LONDON BOY
HUYU JAMAA ANAONEKANA HANA NJAA KABISA
Hapa Mdogo wangu ndio uliniponipa chai ya saa sita na hili joto duuh!
Huo ndo uanaume mwanawane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa vikwazo hivyo hata aje na nyuklia za putin aaa wapiii DemissAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
story iko hivi kuna demu mmoja bhana nimekuwa naye kwenye love kwa mda wa mwaka mmoja na nusu, kwa mda wote huo ambao nimekuwa naye nimekuwa nikimtimizia kila kitu kuanzia haja za kimwili yaan kumpiga miti na shida zake mbali mbali kama pesa za nguo na mapochopocho ya hapa na pale.
Ebhana ee si juz juz ndan ya mwez huu akanambia mimi namchezea wala sina lengo la kumuoa hivyo tuachane na inabidi kunipa papuch kwa sasa had nipeleke barua ya uchumba home kwao, mimi nikamwambia ukweli tu ni kwamba kwa sasa bado sijajipanga hivyo inabidi asubir mwaka huu uishe ndo nitaenda home kwao mara akabadili akadai anataka kusafil kwenda home kilimanjaro kapata kazi nikaona huyu binti anataka kunipanda kichwan ngoja nimufanyie umafia wa hapa na pale
Kuna vitu kibao ambavyo nilikuwa nimemunulia kama simu, laptop gar aina ya alteza na kila week nilikuwa namtumia kias cha kama laki tano za matumiz hasa ya saloon kutengeneza nywele na kuweka kucha, bill zote hizo nilikuwa nagharamia kwakuwa kwanza nina pesa afu nilikuwa namuthamin kama mchumba wangu
Sasa juzi akanipigia cm akanambia gar imeharibika baada ya kunambia hivyo nikajua tiar hii ndo njia ya kuchukua gar yangu nikwambia aje na laptop maana nataka kuhamisha nyimbo za kisukuma ambazo niliziacha humo ndan ya laptop pia nikamwambia asisahau kuja na ile cm nataka nije nichukue baaz ya picha ambazo nilizihifadh humo
Akaleta gar nikaweka ndan laptop pia nikachukua na cm yangu nikachukua pia nikamwambia hivi vitu vyote utavichukua siku nikija kwenu kujitambulisha. AKABAKI NA KASIMU KAKE KA NOKIA KA TOCH NA AKAENDA KUPANDA BAJAJI HAJI KWAO
Jana kanipigia cm analia lia anasema amemisi gegedo na ile safari ya kwenda kwao kilimanjaro kufanya kaz kasitisha hivyo anabaki hapa hapa dar na anadai kwa sasa ananipenda sana kushinda siku zote na hatak tuachane alikuwa ananitania sijui mara juz kaniota tumefunga ndoa na blabla kibao.
DEMU AKIZINGUA MUWEKEE VIKWAZO VYA KIMAREKAN UMUONE ANAVYOKUJA KUOMBA POO MWENYEWE
LONDON BOY
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Amna noma mzeeDu hii ni tamthilia nzuri.imarisha hiyo script uje tuongee biashara
Hatari kweliNa nyumbani umehama au!?
Au bado kula kulala kwa mama?!
Mwaka umeisha wale ambao bado tunaish kwa wazaz tukutane hapa ni lin tutajitegemea?
Hivi watu kama nyinyi mnafikiriaga nini haswa?
Dah bonge la chai la tangawizi
Afu ww beira si ulisema mke wako hajui kuzungusha kiuno bhna? Vip tena na hii chai yako
Wasukuma