lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nchi jirani ya Ukraine imesababisha Russia kuingia katika mgogoro mkubwa na West ambao haujawahi tokea tangu kuvunjika kwa USSR.
Russia ni taifa kubwa kieneo,kisayansi,kiteknolojia na hata kiuchumi.
Ina rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi duniani ikiwa na mafuta,gesi na madini ya aina nyingi.
Ina viwanda vya kila kitu kuanzia silaha za tek ya hali ya juu, viwanda vya machine, mitambo, magari n.k.
Russia imewekewa vikwazo isiuze bidhaa zake kwa west na hata isinunue baadhi ya bidhaa.
Kwa hali hii hata nchi yeyote hapa duniani ikiwekewa vikwazo kama hivyo itaumia kiuchumi.
Ukizuiwa kupeleka bidhaa zako au kununua bidhaa sokoni utaumia.
HAIJAPINDA
Vikwazo hivi vilikua na lengo la kuipinda Russia au kuiamrisha itii matakwa fulani ya West kuhusu Ukraine.Rassia haijakubali kuwainamia wa West.
FUNZO
Funzo ililopata Russia ni kubwa.
Kuwa inaweza kushambuliwa kiuchumi,kama hivi sasa hivyo imejifunza kujilinda pia kiuchimi.
NATO sio watu wa kuaminika.wanania mbaya na Russia ndio maana bado wana nia ya kujitanua.
Kuwa Russia inatakiwa kuwa na masoko zaidi ya moja.
Hakuna tena kuheshimu mikataba kama ya kupunguza silaha kali,na ushirikiano wa teknolojia.
KITAKACHOTOKEA
Sio vikwazo vyote vinamadhara hasi kwa mda mrefu.
Baada ya miaka kadhaa ijayo pindi Russia itakapokua imevimudu vikwazo hivi na kupata masoko mengine itakua haishikiki,itajitegemea na itakua imara mara dufu.
Kumbuka Russia sio Zimbabwe, sio Cuba, sio Korea kaskazi, sio Iran.
Ina sayansi na teknolojia za hali ya juu sana sawa na West na baadhi hata kushinda West.
Ni suala la mda tu.
Tusubiri.