Vikwazo vyaiumiza Urusi, havijaweza kuipinda, yapata funzo

On the contrary, the long term loser is going to be the US. Kuna baadhi ya nchi za EU zimeshamshtukia US na hazitaki kuburuzwa tena kwa vikwazo vinavyowaumiza hata wao wenyewe.

Wengi wao wamepuuza ushawishi wa Merikani wakahamua kujiunga na BENKI iliyoanzishwa na WACHINA, ni nchi chache zilizo hitikia upuuzi wa Wamerikani wa kuwashinikiza wasijiunge na BENKI ya Kichina - hii sio dalili nzuri kwa Wamerikani - wakifanya makosa ya kujaribu kuhujumu BENKI hiyo ya Kichina watakuwa wanajipalilia mkaa hela yao itashuka dhamani kwa kiwango cha kutisha.
 
Hakika
 
Afande Kobaaa, maneno yako yanaishi.
 
Urusi amekuwa huru sasa, hizi kampuni za magharibi ni kama mnyororo shingoni, bila shaka China analo la kujifunza
 
Dotworld Rudi nyumbani uliyayasema yametokea.
Rudi mwananzengo.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Tuansubiri kwa hamu
 
Hivi unaumia ukiwa wapi?
 
Ila watu mlikua mnaona mbele sana, haya tumeyaona sasa ni kweli [emoji1316][emoji1316]. Pro Russia akili mingi sana.
Ukweli ni kwamba Sasa hivi Russia haishikiki Tena.
Haishikiki ikichumi wala kijeshi.
Wakitaka vita,kwa Russia wataipata.
Nani alijua USD inaweza kupumuliwa na Rubble?

Nani alijua Russia inaweza kuzisababishia nchi za west mdumuko wa Bei na mdororo wa kiuchumi?
Nani alijua kuwa Russia inaweza kuwekewa vikwazo vyote hapa duniani lakini ikaendelea kutesa?
Russia inawatesa nyie acheni utani.
Ohooo!!
 
Belarusi imekusanya karibu askari elfu 4 karibu na mipaka ya Ukraine, Urusi linaweza kuhamisha askari wake haraka huko na kuandaa mapigano mpya, - msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Ukraine Motuzyanik[emoji845]
 
Tovuti ya habari ya jarida la Fin Journal inasema kwamba "vikosi viwili vya askari wa kukodiwa vilivyotumwa kutoka Poland hadi Ukraine vimesambaratishwa 15km kusini mashariki mwa eneo la Zaporozhye Kulingana na data ya awali, tunazungumzia juu ya wanajeshi 350 waliouwawa.
 
Dotworld Rudi nyumbani uliyayasema yametokea.
Rudi mwananzengo.
Mkuu lee van cliff mimi nipo! ... huwa napita kimya kimya tu! ... naangalia tu mawazo ya watu ila huwa si-comment sana ... maana watu ukijaribu kuwaelekeza wanakuwa wagumu & wabishi kuelewa ila muda ndio utaamua ... na naona na wao wananza kuona kile tulichokuwa tunakisema zamani .. maana ndio kinatokea, na mengine makubwa zaidi yatatokea mara itakapokamilika global realignment!

Sisi wengine tulishajua mapema jinsi mambo yatakavyokuwa.

cc: Bwana Utam Sikirimimimasikini Champagnee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…