Vikwongwe wa tano wanashindana kwa fani!!!

Vikwongwe wa tano wanashindana kwa fani!!!

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Posts
4,191
Reaction score
677
kuna vikongwe watano wanashindana kwa fani

wakata mawe kwa meno na kujaza matumbani

.......

kikwete na wenziwe.jpg
 
waliobarikiwa , wenye nchi na wala keki ya taifa kwa niaba ya wote
 
Hao hata ukiwaaambia kuwa kule meatu kuna watu wanakufa njaa sidhani kama huo msamiatu unaingia kwenye mitima yao!!!! wananyofoa vipaja tu kudadadeki......:hungry::hungry:
 
Samahani wakuu, huyu aliyekaribu na mwinyi ni nani?T
 
Back
Top Bottom