Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,191 Reaction score 677 Dec 25, 2010 #1 kuna vikongwe watano wanashindana kwa fani wakata mawe kwa meno na kujaza matumbani .......
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Dec 25, 2010 #2 Khaa kweli alieshiba hamkumbuki mwenye njaaa
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,279 Reaction score 310 Dec 26, 2010 #3 waliobarikiwa , wenye nchi na wala keki ya taifa kwa niaba ya wote
Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 284 Dec 27, 2010 #4 Mtu wa Pwani said: kuna vikongwe watano wanashindana kwa fani wakata mawe kwa meno na kujaza matumbani ....... View attachment 19016 Click to expand... Huyo mwenye kija anaonekna ni malfi sana wa nyama
Mtu wa Pwani said: kuna vikongwe watano wanashindana kwa fani wakata mawe kwa meno na kujaza matumbani ....... View attachment 19016 Click to expand... Huyo mwenye kija anaonekna ni malfi sana wa nyama
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 413 Dec 27, 2010 #5 Hao hata ukiwaaambia kuwa kule meatu kuna watu wanakufa njaa sidhani kama huo msamiatu unaingia kwenye mitima yao!!!! wananyofoa vipaja tu kudadadeki......:hungry::hungry:
Hao hata ukiwaaambia kuwa kule meatu kuna watu wanakufa njaa sidhani kama huo msamiatu unaingia kwenye mitima yao!!!! wananyofoa vipaja tu kudadadeki......:hungry::hungry:
Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 642 Dec 27, 2010 #6 Samahani wakuu, huyu aliyekaribu na mwinyi ni nani?T