Wanafungua kesi dhidi ya nan?ushauri wangu wa bure vilabu vifungue kesi kwa muda ambao wameitangaza gsm wanastahili malipo.
View attachment 2111660
soma iyo screenshotWanafungua kesi dhidi ya nan?
Muhuni GharibuWanafungua kesi dhidi ya nan?
Sasa kwanini matangazo yakaruhusiwa,je haki za hivo vilabu iko wapi? Wametangaza bure?Sasa vilabu vingepata vipi mgao wakati kulikuwa na mgogoro wa kimakataba?
Simba hakuwa tayari, hadi hapo GSM asingeweza kuendelea na mkataba na TFF...
Haa Genge La Wahuni GSM Ndiyo Lipo YangaLawama ziende kwa Kiria na Kidao
Sasa kwanini matangazo yakaruhusiwa,je haki za hivo vilabu iko wapi? Wametangaza bure?
Ndugu Zangu Majizi Yapo Hapa HapaWatu hawajui kama hawa matapeli waliwahi kubadilisha jina toka HSC kuwa GSM ili kukwepa kodi
Kwann waliendelea kutangaza na kuvaa nembo ikiiwa kuna mgogoro,na huo mgogoro upi wakat ilishatangazwa kwamba vilabu 15 vimekubaliana huo mkatabaSasa vilabu vingepata vipi mgao wakati kulikuwa na mgogoro wa kimakataba?
Simba hakuwa tayari, hadi hapo GSM asingeweza kuendelea na mkataba na TFF...
Sasa vilabu vilitangaza vipi GSM wakati kulikuwa na mgogoro wa kimakataba?Sasa vilabu vingepata vipi mgao wakati kulikuwa na mgogoro wa kimakataba?
Simba hakuwa tayari, hadi hapo GSM asingeweza kuendelea na mkataba na TFF...
Njaa mzee, na pia walishurutishwa na tiefuefu.Sasa vilabu vilitangaza vipi GSM wakati kulikuwa na mgogoro wa kimakataba?