Vilabu nane Afrika Simba yumo

Vilabu nane Afrika Simba yumo

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Nashangaa Yanga kufurahia kutolewa kwa Simba katika hatua ya robo fainali na huku hawafikirii kuwa Simba ni miongoni mwa Vilabu au Timu bora kati Top 8 Afrika

Imagin Afrika ina nchi 56 na kila nchi ina vilabu zaidi ya 10 na huko Afrika Magaribi kuna vilabu vikubwa sana lakini havikuingia hatua hii halafu mtu mzima anaibeza Simba

This is Simba Top 8 Afrika ,sijui Yanga ni ya ngapi Afrika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anashika nafasi ya ngapi kwenye rank ya CAF?

[emoji375][emoji375]
 
Yanga hatujafurahi kutolewa kwa Simba ila tumekasirika Simba kuacha viforo vingi kwenye ligi kuu wakati hawana lolote. Walipanga kuchelewesha ligi tu bila ya sababu za msingi.
 
Nashangaa Yanga kufurahia kutolewa kwa Simba katika hatua ya robo fainali na huku hawafikirii kuwa Simba ni miongoni mwa Vilabu au Timu bora kati Top 8 Afrika

Imagin Afrika ina nchi 56 na kila nchi ina vilabu zaidi ya 10 na huko Afrika Magaribi kuna vilabu vikubwa sana lakini havikuingia hatua hii halafu mtu mzima anaibeza Simba

This is Simba Top 8 Afrika ,sijui Yanga ni ya ngapi Afrika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jipya ndugu! Hata Yanga tulikuwa miongoni mwa timu 8 bora Afrika ( 1998)!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa Yanga kufurahia kutolewa kwa Simba katika hatua ya robo fainali na huku hawafikirii kuwa Simba ni miongoni mwa Vilabu au Timu bora kati Top 8 Afrika

Imagin Afrika ina nchi 56 na kila nchi ina vilabu zaidi ya 10 na huko Afrika Magaribi kuna vilabu vikubwa sana lakini havikuingia hatua hii halafu mtu mzima anaibeza Simba

This is Simba Top 8 Afrika ,sijui Yanga ni ya ngapi Afrika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga
 
Marehemu alikuwa na mdomo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo wameangalia mambo kadha wa kadha,aset,gharama za uendeshaji ndo wanaiweka katika kiwango hiko,lakini timu nane bora kwa Sasa Afrika kwa kusakata soka Simba imo, nadhani umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe wa kike tulia kapikie wa toto chakula na muandalie mmeo maji ya kuoga afu kakitulize.
bado sana simba hata kuingia 100 bora

[emoji375][emoji375]
 
Hon
1070755
gereni sana
 
Back
Top Bottom