Vilabu vinavyoshiriki ligi kuu vifikirie namna ya kufanya ziara katika mikoa yenye wapenzi na mashabiki baada ya ligi!

GERMANY

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
65
Reaction score
21
Kwa mfano Simba inafanya kila mwaka tamasha la simba day hapa Dsm, kwanini wasifanye mikoa tofauti kila mwaka katika harakati za kuongeza mashabiki pamoja na wapenzi katika mikoa mingine?
 
Umewaza vilevile kama mm ninavyofikiri, Simba waboreshe tamasha la Simba Day kwa kucheza kwenye mikoa 3 hivi na kisha fainali kuchezwa Dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…