Vilabu viwili vya Saudi Arabia vyachuana kupata saini ya Lionel Messi

Vilabu viwili vya Saudi Arabia vyachuana kupata saini ya Lionel Messi

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Al Ittihad na Al Hilal wameripotiwa kuwa tayari kutoa Euro 350 milioni kwa Messi ili kumnasa kuondoka PSG. Kwa mujibu wa MARCA, klabu zinajipanga kumnasa Messi baada ya Al-Nassr kumsajili mpinzani wake wa milele Cristiano Ronaldo wiki chache zilizopita.

 
Back
Top Bottom