Vilabu vya English Premier League kurejea mazoezini Jumanne

Vilabu vya English Premier League kurejea mazoezini Jumanne

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Vilabu vyote 20 vya Ligi Kuu ya England zimepiga kura ya kurejea mazoezini kwa vikundi vidogo kuanzia Jumanne

Kura hiyo iliyokuja baada ya kikao cha wadau kimetajwa kuwa hatua ya kwanza katika kuanza msimu wa 2019/20

Taarifa ya Ligi hiyo imesema makubaliano ya hatua hiyo yamehusisha wachezaji, makocha, madaktari wa vilabu, wataalamu binafsi na serikali

Pia imeelezwa kuwa, wachezaji watarejea mazoezini huku wakizingatia umbali baina yao, pia hawataruhisiwa kugusana

======

All 20 English Premier League clubs on Monday voted unanimously to return to small-group training beginning on Tuesday.

The vote, which took place following a meeting of shareholders, is the first step towards restarting the 2019-20 season.

The protocol is widely reported to include training in groups of no more than five players, getting changed at home and driving to the training ground on their own.

"Step One of the Return to Training Protocol enables squads to train while maintaining social distancing. Contact training is not yet permitted," the Premier League said in a statement.


"This first stage has been agreed in consultation with players, managers, Premier League club doctors, independent experts and the Government," the statement read.
The Premier League told CNN on Friday that June 12 is the earliest, hypothetical start date for the resumption of play.

All professional football in England is currently suspended indefinitely.
 
Chelsea jiandaeni kuchukua ubingwa next season...Ligi hii ndio inaisha hivyoo.
 
Back
Top Bottom