Ni ngumu Sana mkuu. FA pamoja na vilabu vnaweza kupata hasara kubwa Sana. Ligi itarejea lkn bila mashabiki kwenda viwanjaniUtata mkubwa ni kama Ligi itafutwa.
"Not everything is for everybody"
Ata makampuni ya kubet yana haha. Wanaombea ligi irudi nao wapate hela.Bora warudi hewani tuanze kubet! Tuliozoea kuishi kwa kubet hivi sasa tunakufa njaa!
Lockdown imesogezwa wiki tatu tena. Hapo ni mpaka mei ambapo ligi ilikuwa inaisha.Utata mkubwa ni kama Ligi itafutwa.
"Not everything is for everybody"