Brain Mpogole
Member
- Feb 14, 2017
- 11
- 15
Wafute Matokeo ya Ligi yote hakuna mambo ya kupeana ubingwa mezani kama zawadi ata kama ulibaki mchezo mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka... Umekuwa Magu? [emoji16][emoji16]Jirani jana kamkabizi mzigo mhusika,nimekaa kwa utulivu nasubiri mnyama nae apewe chake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuliko.... Osama..? [emoji16]Ha ha haaa mkuu mbona kama mkatili sana!!!
Ha ha haaa mkuu mbona kama mkatili sana!!!
Kama nimefahamu sahihi ligi inarejea June 6, kinachojadiliwa leo ni namna gani mechi zitachezwa.Wafute Matokeo ya Ligi yote hakuna mambo ya kupeana ubingwa mezani kama zawadi ata kama ulibaki mchezo mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Say no Kwa wapenda kitongaJirani jana kamkabizi mzigo mhusika,nimekaa kwa utulivu nasubiri mnyama nae apewe chake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafute Matokeo ya Ligi yote hakuna mambo ya kupeana ubingwa mezani kama zawadi ata kama ulibaki mchezo mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app