Vile Roho Ina Muuma Mdada Aliyepoteza Usichana Wake Kwa Ajili Ya IPhone 6 Na Sasa Kuna IPhone 11 Pro Sijui Utapoteza Nini Tena Zaidi Ya Uhai...[emoji23]
Watakua wameshagundua njia nyingine za kuwawezesha kupata hio iphone 11 pro maana hio iphone 6 aliipata kipindi akili haijachangamka sana hivyo mpaka leo akili itakua imechangamka sana...