Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Plus Gen Z😂Wazee wenzangu ambao tayari mna wajukuu, ni nini kinawafurahisha kuwa akina babu na bibi?
Nini kinakuchekesha binti yangu 😂🤣🤣🤣🤣🤣
Daah, ndiyo mwili unaoupenda huu mzee mwenzangu 😂
Unaandika kwa mahaba mpaka mwanamke mwenzio nasisimkaNini kinakuchekesha binti yangu 😂
Gen Z wana mpya gani tena 😂 ?Plus Gen Z😂
Labda kapata GnZ 🤭🤣🤣Gen Z wana mpya gani tena 😂 ?
HahahaUnaandika kwa mahaba mpaka mwanamke mwenzio nasisimka
Halafu wakunipea hayupo🥹
Njoo kipenzi changu unipe ushuhuda 😂Binti wa zamani unishtue nije kutoa ushuhuda 😅🤭
Kwani jinsia gani haka KamutuWazee wenzangu ambao tayari mna wajukuu, ni nini kinakufurahisha kuwa babu au bibi?
View attachment 3597684
Vile huwa nafurahi kukuona 🫶 jana ilikuwaje tena 😂Jana 😛