komora096 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 20,548 Reaction score 5,647 Jun 19, 2020 #21 Mgagaa na Upwa said: Jana nilimuambia bi dada komora096 "njaa haina baunsa" leo yanatokea haya kwenye her own town Click to expand... Mwenye njaa haandamani[emoji23][emoji23] Km waliahidiwa chakula basi wapewe, km ni sokoni vyakula vitele na bado havijapanda bei
Mgagaa na Upwa said: Jana nilimuambia bi dada komora096 "njaa haina baunsa" leo yanatokea haya kwenye her own town Click to expand... Mwenye njaa haandamani[emoji23][emoji23] Km waliahidiwa chakula basi wapewe, km ni sokoni vyakula vitele na bado havijapanda bei
komora096 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 20,548 Reaction score 5,647 Jun 19, 2020 #22 digba sowey said: Nasikia wameshinda UN seat,sasa si waende huko wakachukue chakula Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app Click to expand... We mzee wa tecno mbna una kiherehere sana[emoji23][emoji23]yani wajibwetukia
digba sowey said: Nasikia wameshinda UN seat,sasa si waende huko wakachukue chakula Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app Click to expand... We mzee wa tecno mbna una kiherehere sana[emoji23][emoji23]yani wajibwetukia
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Jun 19, 2020 #23 komora096 said: We mzee wa tecno mbna una kiherehere sana[emoji23][emoji23]yani wajibwetukia Click to expand... Ni kweli kwamba UN seat inatoa chakula,au jamaa mzushi tu.
komora096 said: We mzee wa tecno mbna una kiherehere sana[emoji23][emoji23]yani wajibwetukia Click to expand... Ni kweli kwamba UN seat inatoa chakula,au jamaa mzushi tu.
komora096 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 20,548 Reaction score 5,647 Jun 19, 2020 #24 mkorinto said: Ni kweli kwamba UN seat inatoa chakula,au jamaa mzushi tu. Click to expand... Muulize joto la jiwe[emoji23][emoji23]
mkorinto said: Ni kweli kwamba UN seat inatoa chakula,au jamaa mzushi tu. Click to expand... Muulize joto la jiwe[emoji23][emoji23]
M Mbolabilika JF-Expert Member Joined Jul 30, 2019 Posts 2,128 Reaction score 2,867 Aug 14, 2020 #26 babayao255 said: Hivi si walijisifu kuwa wameanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga. Serikali ya Kenya yaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja Click to expand... Kwani unazan mk 254 anaelimu ? Ni mtoto mmoja muhuni wa mitaani
babayao255 said: Hivi si walijisifu kuwa wameanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga. Serikali ya Kenya yaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja Click to expand... Kwani unazan mk 254 anaelimu ? Ni mtoto mmoja muhuni wa mitaani