B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Wakuu habari ya mida!embu tupunguze stress kidogo maana maisha Ni haya haya Sina badilika tarehe tu. Nikweli tumepitia mengi Ila katika vilivyo niharibu tokea nikiwa mdogo kwangu Ni hivi...kamari nimekuwa nikicheza kamari tokea nikiwa la nne,Tena mpaka na sahau kulaa,mitaa ya sanawari arushaa...nikaingia kwenye kundi la uchokoraa mitaa ya town Arusha mjini.....nikahamia kwenye uhuni wa kwenda kwenye makonstii down town na kujiunga kwenye magengee ya ajabu ajabu....wazazi wakastuka wakanitupa form one bodigiii skul huko ndo niaribikiwa zaidi kuvuta Jani...kuchanganya na valiam au peritoni....nashukuru sikuangukia utejaa.