Vilivyo niharibu....nilivyo viharibu

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
Wakuu habari ya mida!embu tupunguze stress kidogo maana maisha Ni haya haya Sina badilika tarehe tu. Nikweli tumepitia mengi Ila katika vilivyo niharibu tokea nikiwa mdogo kwangu Ni hivi...kamari nimekuwa nikicheza kamari tokea nikiwa la nne,Tena mpaka na sahau kulaa,mitaa ya sanawari arushaa...nikaingia kwenye kundi la uchokoraa mitaa ya town Arusha mjini.....nikahamia kwenye uhuni wa kwenda kwenye makonstii down town na kujiunga kwenye magengee ya ajabu ajabu....wazazi wakastuka wakanitupa form one bodigiii skul huko ndo niaribikiwa zaidi kuvuta Jani...kuchanganya na valiam au peritoni....nashukuru sikuangukia utejaa.
 
upo juu

uko kiwanja gani mida hii..
 
Bado hujasema wewe
 
Uchawi
Ulozi
Ushirikina
Hivi vitatu nimefanya navyo kolabo sana
Kulala makaburini...kwenye miti...kwenye mapango..mochwari...nknk

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nilivyo viharibu.....vijana wengi kuwawashia gari la kumokuu ganja kuchanganya na valium now wengi wamekuwa mateja kabisaa,wanafunzi wengi wakikee niliwarubuni na kuwaharibia masomo....wengi walio kuwa wafuasi wangu wemekuwa marehemu na wengine wako jelaa.kwa Sasa Mimi Ni kijana mtiifu na baba wa familia,mstarabu na mwenye hofu ya mungu nilisha tubu zambi zangu
 
MashaAllah....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…