Village land act 1999

Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2008
Posts
415
Reaction score
219
Habari za masiku jamani.

Naomba mwenye soft copy ya Village Land Act ya 1999, aiweke hapa jamvini, nina shida nayo sana.
asanteni na jioni njema
 
Pia ikipatikana na Land Act 1999 powa tu
 
search kwenye website ya bunge
 
Asanteni Sana
Na mie nime pata shida ya ghafla kutaka Village Land Act
Jami forum

Hitesh Divecha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…