Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Chama kinaundwa na kitu gani? Nyie ni wala rushwa na Wachawi. Full stopSasa hizo ni harakati za Chama au za mtu ndani ya Chama? Ina maana huna ywezo wa kusoma kuelewa na kutofautisha matukio?
Kwanini CCM ni waoga hivi??Hicho kitu ni cha aibu
Hahahaha na mkikumbatia rushwa zenu mnaitwaje??Watu tukikumbatia ASILI na TAMADUNI zetu mnatuita wachawi aaagh Domo jumba la maneno.
Hahahaha na mkikumbatia rushwa zenu mnaitwaje??
[/QUOT
Mkuu wangu RUSHWA NI ADUI WA HAKI....
CCM ni BAHARI...inakusanya WOTE....
Kaka Rushwa ya Pesa na Ngono Iko KILA mahali katika JAMII ZETU....
Ukiona mpaka mheshimiwa Rais anawasifu TAKUKURU kwa kazi nzuri waifanyao lakini HAPOHAPO anawakosoa kwa mapungufu YAO ujue ni tatizo kubwa......
Kaka RUSHWA haina VYAMA....
Kuna watu maisha ya KUPOKEA na KUTOA RUSHWA ni URAIBU....
Mkuu huko VYUONI kumejaa Rushwa za NGONO....
Mkuu CCM isiwe SCAPEGOAT na PUNCHING BAG ya hizo tabia JINAMIZI....
HahahahaCcm wanawanga sana...ndo maana wajumbe Banach an families.
Hahahaha wako kimyaaaaMbona kwa wana ccm hiyo ni kawaida sana tu!!
Hivi amegombea tena?Nyoka mwenye makengeza ndiye kawafundisha huu upumbavu
Sawa Boss!Kila mtu ana imani kwa kile anachokiamini ila mwenye uwezo na mpangaji wa yote ni mmoja tuu na ndie anayetupa uhai.
Ndio maana kuna wanaotumia imani za asili wameshindwa, na pia wapo wanaotumia imani za mzungu na mu Arab pia washindwa.
Anaachaje kwa mfanoHivi amegombea tena?
Duh, anataka kufia Bungeni sasaAnaachaje kwa mfano
Inawezekana huyo ndio aliyeangusha huo mzigo.Chama kinaundwa na kitu gani? Nyie ni wala rushwa na Wachawi. Full stop