FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Yaani [emoji16]Mzuka ulipanda ghafla
Yani Siku city anatoka nilijua baaasi hawa wengine hawawezi
Mmeonesha udhaifu sn.Kane ndo alikuwa kirusi leo.weka Lucas mapema,ona anavolia sasa!
Mwenyezi mungu huu ugonjwa wa kisasa kauweka pabaya Sana..
huyo demu bwanaake aitwae Vitaly nae alivamia uwanja kwenye fainali ya kombe la dunia 2014
Dah, yaani sijui tuseme ni nyege zilimzidi [emoji16]Dawa yake ilikuwa ni kumchapa nao ili iwe fundisho