Vimbwanga na vituko vya member mpya wa JamiiForums

Vimbwanga na vituko vya member mpya wa JamiiForums

KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
2,476
Reaction score
2,371
Wakuu Salama humu ndani.

Nimekuwa member humu ndani ya JamiiForums kwa miaka Mingi na huwa najivunia Sana kuwa nimejifunza Mambo mengi Sana na kutatua migogoro Mingi ya kiimani, Kisheria na kimaradhi.

Leo na Jana nikawa napitia vimbwanga na vituko mbalimbali nimeona vingi na wengine ni Wasomi Sana wanavyojinasibu lakini wanavyoviandika hata LY hafanyi hivyo wengine wanahongwa Ban kila wakikoment.

Wengine wana majibu yaani unaweza rusha ngumi. Weka kubwanga na kituko ulichokiona Jamii forums Cha Member Mpya.

Mimi naanza na changu Ukikosea Tittle huwezi kurekebisha na roho inauma hasa. Haaaahaaasa
 
Hiki chako ( Thread Yako ) ni cha kwanza kwangu mimi [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom