Vimbwanga vya kuku wa kienyeji

Vimbwanga vya kuku wa kienyeji

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa wale wafugaji wenzetu wa mfugo ndege aina ya Kuku hasa wa kienyeji ninaowafuga mimi huu uzi special tujadili matukio ya kushangaza na hata kufunja rekodi ila basi tu hatuyatangazi..

Mimi binafsi nimeanza kufuga 2025 nilianza na makoo 3,kisha nikaongeza majogoo 3 chotara kisha nikaongeza Tena makoo wa 4..

Sasa visa vyao

1. Kuna kuku yeye kazi yake kutaga kitandani kwangu yaani humwambii kitu lazima atage kitandani kisha yai nilihamishe

2. Mwingine huyo yeye ana watoto vifaranga 8 ila akiona mayai ya wenzake ana force kwenda kuyalalia sijui kadataje.

3. Kuna hao watatu wao wanataga sehemu moja na wanaaachiana zamu kutamia nimewaacha.

NIPE VISA VYA KUSHANGAZA VYA KUKU WAKO HASA WA KIENYEJI
 
Kwa wale wafugaji wenzetu wa mfugo ndege aina ya Kuku hasa wa kienyeji ninaowafuga mimi huu uzi special tujadili matukio ya kushangaza na hata kufunja rekodi ila basi tu hatuyatangazi..

Mimi binafsi nimeanza kufuga 2025 nilianza na makoo 3,kisha nikaongeza majogoo 3 chotara kisha nikaongeza Tena makoo wa 4..

Sasa visa vyao
1.kuna kuku yeye kazi yake kutaga kitandani kwangu yaani humwambii kitu lazima atage kitandani kisha yai nilihamishe

2.mwingine huyo yeye ana watoto vifaranga 8 ila akiona mayai ya wenzake ana force kwenda kuyalalia sijui kadataje.

3.kuna hao watatu wao wanataga sehemu moja na wanaaachiana zamu kutamia nimewaacha.

NIPE VISA VYA KUSHANGAZA VYA KUKU WAKO HASA WA KIENYEJI .
3.kuna hao watatu wao wanataga sehemu moja na wanaaachiana zamu kutamia nimewaacha😂😂😂wajamaa
 
Back
Top Bottom