Unataka kusema kuwa cheti cha mtoa mada kina walakini? mimi km nakuelewa vileaiseeeeeeeeeee.......!
zoezi la uhakiki wa vyeti liendelee tafadhari,....!
mkuu hayo mimi sijasema mkuu.....ingawa nawe una hoja pia kiongozi,..!Unataka kusema kuwa cheti cha mtoa mada kina walakini? mimi km nakuelewa vile
Hahaha.......mkuu naona unaogopa personal attack lkn inaonekana umemusema mtoa mada indirect, hata hivyo hoja yako sawiya sana.mkuu hayo mimi sijasema mkuu.....ingawa nawe una hoja pia kiongozi,..!
hoja yangu ni-zoezi la kuhakiki vyeti liendelee ili Tz ya viwanda iwezekane mkuu.