D
[emoji16] [emoji16] [emoji16] nimemuonaKasie umemuona baada ya Miss natafuta [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Khaaaaaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bi Fai.... [emoji125]
daahHahahaa..miss natafuta kawahi mbele kabisa hataki kupitwa
Nimfate wapi wakati niko naye hapa kanisani?
Huyo wa pili kutoka mbele atakuwa ni nani humu[emoji144] [emoji144]
Nina npango wa kukutenga...Hahahah...namuona mke wa Babu
Yupi huyo mi bana ni msahaulifu sana[emoji134]yule maarufu sana humjui?
Hahahahha ngoja aje[emoji16] [emoji16] [emoji16] nimemuona
Nasubiri baeeeSubiri
Kwenye picha yake hapoo chukua umpelekeeNimfate wapi wakati niko naye hapa kanisani?