Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kwamba unamaanisha safari ya kwenda Aseno imeiva?Winga wa Real Madrid, Vin Jr amefuta picha zote kwenye mtandao wake Instagram leo Jumatano Agosti 5, 2026.
Winga huyo ambaye anahusishwa na Arsenal amefuta picha zote kwenye mtandao huo pamoja na kuondoa 'pofile' picha pamoja na utambulisho wa Real Madrid.
View attachment 3643992
Wewe umewaza kama mimiHapana sio et kwa kwenda arsenal bali ni kwakuwa amekuwa na muonekano mpya ... anataka kujibland upya ili atengeneze pesa kwa makampuni