SI HASA ni SIASA... Pichani kushoto ni Rais mpya wa Kenya Muheshimiwa Uhuru Kenyatta akifuatiwa na makamu wake William Ruto na aliyekuwa mpinzani mkubwa kabisa wa rais Kenyatta bwana Raila Ondinga pamoja na Kalonzo Musyoka wakifurahi kwa pamoja hapo jana katika Ikulu ya Kenya.Kwa msiujua siasa ni nini hii sasa ndio siasa,Jenga nchini kwa amani na masikilizano,hakuna kupigana wala kusumbua wananchi.Hongereni wakenya kwa kumaliza salama uchaguzi wenu. Jumapili njema.