7. Sebastian Deissler - kupotea kwake kunasikitisha sana hata nashindwa kuelezea!
8. Said Mwamba - tatizo alilolipata ni kama la Compa na vinara wengine Tanzania!
9. Ronaldo Lima -akipunguza uzito anaweza kucheza kwa kiwango cha juu siku zote!
10. Ricardo Kaka -dogo ndio kashapotea kwa uzembe wake labda muujiza umtokee!
1. Pablo Aimar - Kabla Messi hajatokea huyu ndiye aliyekabidhiwa mikoba ya Maradona!
2. Austin Okocha - Pele alikiri kuwa huyu kiungo madoido ni balaa na atafanya makubwa!
3. Faustino Asprilla - Alitegemewa kutumia mapande ya Valderamma kutesa muda mrefu!
4. Comrade Companero - Bahati mbaya timu ya taifa lake ni kichwa cha mwendawazimu!
5. Giuseppe Signori - Serie A ilishuhudia magoli yake murua ila Azzuri haikumtumia vizuri!
6. Ronaldinho Gaucho - Umri bado unamruhusu ila ameshapoteza kasi, nguvu na ari zaidi!

16.Fernando Redondo,jamaa alitoka Real Madrid akaenda AC Milan.Na kama kawaida yao Milan wakaua kipaji adimu ambacho dunia imewahi kukiona.The guy was very skilled and stylish,a real playmaker!!11. Emanuel Adebayor
12. Robin Van Persie
13. Andriy Schevchenko
14. Zlatan Ibramovich
15. Edibily Lunyamila-ambaye aliingiwa na ushamba akaanza kula hovyo, kunywa pombe
ovyo na kulazimika kustaafu mapema. Shule aliacha, sasa hivi
hakuna elimu hakuna soka. Kwishney.