Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
mc manaman
16.Fernando Redondo,jamaa alitoka Real Madrid akaenda AC Milan.Na kama kawaida yao Milan wakaua kipaji adimu ambacho dunia imewahi kukiona.The guy was very skilled and stylish,a real playmaker!!
unajuwa haileti maana kumtaja mtu kama Ibracadabra ambaye kabeba ndoo akiwa na Ajax na juve na Inter, na Barca na sasa yuko kileleni na AC Milan huku akiwa katoka kuwanyuka mabingwa wa ulaya Inter.
iko siku mtakuja kuandika hata Pato pia kapotea.
Companero plz wasahihishe wachangiaji tafadhali.
Kuna watu wa kuwaweka humu kama kina Owen, Henry, Reyes, Gilberto, ryan Babel, overmars, edu...nk nk nk
dah mkimtaja okocha jamani machozi yananitoka, halafu nashangaa hamumtaji Nwanko Kanu, inaniuma sana nikikumbuka jamaa alivyokuwa akipiga vyenga na kuwafunga argentina na brazil kwenye olimpiki ya us 96, walikuwepo akina finidi george, tijan babangida, samsom siasia ile timu ilitisha. mnamkumbuma patrick kluivert wakati ule ajax
a
SAleh Sonda- RIP, Huyu bwana alisomea pale Arusha Tech then alikuja chezea Simba kabla ya kuacha football na baadae kufariki dunia.Alikuwa anacheka sana na nyavu...kifupi alikuwa bonge la mchezaji enzi zake.....Mabange = good footballers.mkuu sonda yupi huyu? ninayemjua mimi alikua Tambaza 1988-91 na hakuwa mchezaji bali mabange tu
baba kweli huyu majeruhi yamemfanya aache kucheza mapema Jamie Redknap mtoto wa harry rednknapp,captain wa liverpool huyu alikuwaaah! Steve Mc manaman kacheza banaa! Mbona kagonga sana ngozi, labda nambie Jamie Redknap, Milan Baros, Giogios Samaras, Odonkor na Asamoah wa Germany.
16.Fernando Redondo,jamaa alitoka Real Madrid akaenda AC Milan.Na kama kawaida yao Milan wakaua kipaji adimu ambacho dunia imewahi kukiona.The guy was very skilled and stylish,a real playmaker!!
Denilson Machenga wa Brazili naye aliishia wapi au ndiyo yale yale ya mgema akisifiwa?
Ok Dani Garcia Lara,Stan Collymore na Lilian LaslandesHawa hawahusiki humu.
taja vijana walioacha soka huku tunawahitaji