kashaacha soka tayari nakumbuka enzi zile yupo Lazio aliwafunga goli timu 1 ya England nadhani walikuwa chelsea 1999-2000 ktk champions ligi ktk hatua ya makundi stamford bridge.Ni mdogowe Super Pippohivi wakuu inzaghi alikuwa na mdogo wake .. bado anasakata kabumbu ? am talking about simione inzaghi kama sikosei.. ama hawakuwa ndugu hawa?
jamaa Real madrid ilimpenda kipindi kile.. nakumbuka oldtraford chapions ligue kipindi kile Madrid Vs Man U.. redondo alivochakachua beki za Man UTD kutoka kwenye winga na kumuachia pass nzuri El Angel del Madrid kpindi hicho rahul.
yuwapi Redondo..?????
huyu bwana alikuwa na kichaa cha chenga! za maudhi.. alisababisha Hasan sas kipindi cha kombe la dunia korea /japan alipewa red card kwa ajili yake.. denilson anaenda hadi golini hafungi hatoi pasi.. anarudi kwenye winga .. brasil ya kipindi kile ilikuwa nzuri saana!! sababu mbele kulikuwa na combination ya ronaldo & rivaldo.. nimemsahau beki wao ... jina lilikuwa linaanza na L

msimu ulopita Dinho kaongoza kwa Assist sere A nzima.
ni majerui tu ya kina Nesta, Pirlo na Pato.
Lakini kama timu ingekuwa sawa basi Milan wangetwaa ndoo.
So kumuweka Dinho humu ni dhambi
Physio room.Where is the future of Owen Hangreeves?
1998...
Tafarer, cafu, carlos, baiano aldair...
2002...
Marcos, cafu, carlos, roque Jr, edmilson, lucio...
kati ya hao yupo huyo uliyemsahau?
Fred Mwamfupe
huyu kijana hunifanya nikumbuke UMISETA kanda ya nyanda za juu Mbeya alikuwa
akiichezea shule ya Sekondary Meta iliyopo mjini mby miaka ya 2000,
akaacha mpira hivi sasa hajulikani yuko wapi
ni LUCIO ndiye nilimsahau. last time i checked he ws on bundesliga.. sijui kwa sasa yupo wapi
Marehemu huyo Raphael Paul (RP)Raphael Paul- T.P Lindanda Wana Kawekamo- Pamba ya Mwanza