Vinara wa Soka Waliopotea Kabla ya Wakati Wao!

Christopher Alex Massawe,
Kiungo wa Zamani wa Wekundu wa Msimbazi
 
Huyo Djalminha alikuwa na personality disorder iliyomuathiri sana mpaka ikaua kipaji chake ila jamaa alikuwa anajua sana saanaaaa [emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
1. Adriano
2. Michael Owen
3. Fernendo Torres - Alipotoka Liverpool kwenda Chelsea akapotea moja kwa moja
3.
 
Na sasa ndio kocha wa national team England
 
16.Fernando Redondo,jamaa alitoka Real Madrid akaenda AC Milan.Na kama kawaida yao Milan wakaua kipaji adimu ambacho dunia imewahi kukiona.The guy was very skilled and stylish,a real playmaker!!

Redondo alikuwa mtu hatari sana....si ndiye aliyeipatisha madrid uefa cup!!
 
Paul Gasgoine 'Gazza' - Mabangi nibangue yalifanya kipaji chake kipotee kabla ya wakati!
Diego Armando Maradona - Madawa ya kulevya yalifanya tukose uhondo wake WC 1994!

Just remember alikaa nje kama sikosei 4 years kwa kesi ya madawa ya kulevya.yani amecheza muda mfupi sana.kama sio issue ya kutumia hayo madawa 3 world cups zingemuhusu huyu mfalme.
 
Ali Manyanya toka Mirambo kuja yanga ghafla sijui kilimsibu nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…