Pre GE2025 Vinara wa Upinzani: Mzee Mbowe, Mzee Lipumba, Mzee Cheyo, Mzee Dovutwa, Mzee Rungwe na Mzee Duni Haji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwanza Kabisa niwatakie Heri ya Mwaka mpya Wakongwe hawa wa Vyama Vya Upinzani

Pili niwaambie Kuwa Taifa zima linawategemea katika kutuongoza kuipata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Ninyi Wazee hamjawahi kuyumba wala kuyumbishwa kwenye Siasa za Upinzani kama wanavyoyumbishwa Vijana na Jumuiya za akina mama

Mlale Unono 😄
 
Picha zao plz
 
Mlale Unono [emoji1]
Siku zote ujinga ujinga tu
 
Hah hah!, Hata mwenyekiti wa UDP John Cheyo anakiri kuwa ni CHADEMA tu ndiyo chama kinachoweza kukabiliana na chama dola kongwe.

Toka maktaba :
 
Back
Top Bottom