Vinasa sauti (spy voice recorder) wanavyotumia wapepelezi vinaweza kupatikana maduka gani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
 
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
Phonepoint posta kama unaelekea salamander tower nilinunua miwano spy glasses
 
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
Waulize Wafanyakazi wa Clouds Media Group (Radio and Television) kwani karibia Wote wanavyo. Ukikutana na Mfanyakazi yoyote wa Clouds Media Group (hasa Mwandishi wa Habari au Mtangazaji wa Redio au Television) kuwa makini sana katika Kuropoka Kwako kwani utaishia Jela. Nimemaliza.
 
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
Una agenda ya mapenzi? Mimi kuna watu ntawadaka kwa njia hio Nina vifaa vya kiutafiti nimepewa na partners wangu wa Belgium, hata watekaji unawanasa uzuri tu
 
Ila haya mambo ni kuingilia privacy za watu tu. Make sure unakiweka na wanajua lasivyo unaingilia faragha za watyu
 
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
Karibu tukuhudumie
 
Kausha radio ya idara Ile!!
 
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo
Mtaa wa Uhuru maduka yoyote coz ndiyo mtaa unaodili na vifaa vya eletroniki vya kisasa, agents wa makampuni makubwa ya mawasiliano wapo mtaa huo.

IT wasioshindwa kitu wapo mtaa huo. China Plaza vipo, Posta vipo! Chaguo ni lako. Hapa chini kwenye maelezo ya hii picha vipo vingine ukihitaji navyo vipo! Hii ndiyo DSM!

Nb: Punguza umbea, majungu na fitina huko ofisini kwako! Kama cheo utapanda wakati ukifika!
 
Na Hiyo miwani ndio inakuaje

Mashushushu wa Jf mtufafanulie
Miwani zipo za aina tatu 1. Zinazorecord video na Sauti 2. Zinazo piga picha na 3 zenye fanya zote 2... zipo pen kama camera na voice recoders
 
Attachments

  • IMG_0040.png
    40.2 KB · Views: 5
  • IMG_0046.jpeg
    251.5 KB · Views: 6
  • IMG_0048.jpeg
    148.2 KB · Views: 8
  • IMG_0045.jpeg
    164.8 KB · Views: 8
Wale wa BBC wana mpaka mini(spy cameras) zaidi ya moja, na muda wote zipo active,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…