Vinasaba vya Hayati Magufuli vinainyemelea Kenya. Zipo tetesi Rais William Ruto kuongeze mhula wa Urais mbali kwamba amekanusha habari hiyo

Vinasaba vya Hayati Magufuli vinainyemelea Kenya. Zipo tetesi Rais William Ruto kuongeze mhula wa Urais mbali kwamba amekanusha habari hiyo

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Rais wa Kenya William Ruto amekanusha madai kuwa ana mpango wa kufuta ukomo wa mihula miwili ya Urais nchini humo na kuweka ukomo wa umri wa kuwania kiti cha urais kwa miaka 75.

Mjadala huo uliibuliwa hivi karibuni na Mbunge wa Fafi Salah Yakub aliyedai kuwa serikali ya Ruto inajiandaa kuja na mpango huo.

Ruto amewataka wabunge wa nchi hiyo kutanguliza miradi ambayo ina athari ya moja kwa moja kwa maisha ya Wakenya.

“Mlichaguliwa kuwatumikia wananchi masuala yao lazima yatangulie. Kama Rais, sitashiriki katika juhudi zinazolenga kuvunja Katiba kwa ajili ya ubinafsi" amesema Rais Ruto katika hotuba yake.

Ruto.jpg
 
Ruto ni kama anapita njia zilezile za jpm
 
Rais wa Kenya William Ruto amekanusha madai kuwa ana mpango wa kufuta ukomo wa mihula miwili ya Urais nchini humo na kuweka ukomo wa umri wa kuwania kiti cha urais kwa miaka 75

Mjadala huo uliibuliwa hivi karibuni na Mbunge wa Fafi Salah Yakub aliyedai kuwa serikali ya Ruto inajiandaa kuja na mpango huo

Ruto amewataka wabunge wa nchi hiyo kutanguliza miradi ambayo ina athari ya moja kwa moja kwa maisha ya Wakenya.

“Mlichaguliwa kuwatumikia wananchi masuala yao lazima yatangulie. Kama Rais, sitashiriki katika juhudi zinazolenga kuvunja Katiba kwa ajili ya ubinafsi" amesema Rais Ruto katika hotuba yake.View attachment 2418878
HATA KULIPA VISASI kama JIWE
1668613214307.jpg
 
Back
Top Bottom