Vinatafutwa viti vya asili

Ngolewise

New Member
Joined
May 28, 2021
Posts
2
Reaction score
2
Kama ilinyo elezwa apo juu vinatafutwa viti vya asili ka. A hii picha inavyoonekana. Location viwe kanda ya ziwa bei iwekwe hapa mimi ni mgeni wa huu mtandao, staweza kuja inbox πŸ‘ΈπŸ˜ŒπŸ™πŸ™​

 
tafuta fundi mwonyeshe hii picha atakupa makadirio.
BTW: picha nzuri, pametulia
 
0672018368 ,huyu ni fundi wa viti vya asili mcheki kiongozi
 
0672018368, hizo ni baadhi ya kazi zao so whatever sample unahitaji wacheki

























 
0767937314 so sorry namba nyingine kwa ajili ya mawasiliano na WhatsApp ni hiyo pia kwa ajili ya kupata viti vya asili
 
Bei zake nazo ni za asili ...tupe bei
 
Hivyo vidogo bei ni Laki moja na nusu na meza ni 90 elfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…