INAUZWA Vinauzwa solar panels na battery yake,tank 5,000,vitanda,machine ya kunyonyolea,

INAUZWA Vinauzwa solar panels na battery yake,tank 5,000,vitanda,machine ya kunyonyolea,

Susan85

Member
Joined
May 23, 2017
Posts
86
Reaction score
19
Habari Za mchana, kuna shamba Linauzwa vifaa tunauza vifaa vilivyokuwepo ndani ya shamba kama ifuatavyo; solar panels na battery yake size ya 300watts laki 6,vitanda viwili 4*6 kila kitanda laki moja bila na godoro ukitaka na godoro zake 140,000,tank 5000litre linauzwa laki 650,000,jiko la GAS laki 150,machine ya kunyonyolea inauzwa laki tano.vitu vingine vimeletwa tegeta na vingine kiromo bagamoyo kwa yeyote atakayependa kuvinunua karibu contact no.0756 661761 or Whatsapp no.062 784 0045.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    139.1 KB · Views: 68
  • image.jpg
    image.jpg
    113.5 KB · Views: 67
  • image.jpg
    image.jpg
    98.8 KB · Views: 70
  • image.jpg
    image.jpg
    91.5 KB · Views: 74
Naona maneno ya Magu yanazidi kutimia tu, watu wanaikimbia dar na kurudi mikoani
 
Siku hizi nyuzi za kuuza vitu ni nyingi sana, kulikoni!? Wallah kakitanda na kagodoro kangu siuzi hata kwa upanga, njaa iniue tu nitarithisha wanaobaki
 
Habari Za mchana, kuna shamba Linauzwa vifaa tunauza vifaa vilivyokuwepo ndani ya shamba kama ifuatavyo; solar panels na battery yake size ya 300watts laki 6,vitanda viwili 4*6 kila kitanda laki moja bila na godoro ukitaka na godoro zake 140,000,tank 5000litre linauzwa laki 650,000,jiko la GAS laki 150,machine ya kunyonyolea inauzwa laki tano.vitu vingine vimeletwa tegeta na vingine kiromo bagamoyo kwa yeyote atakayependa kuvinunua karibu contact no.0756 661761 or Whatsapp no.062 784 0045.

Mie nipo Mtwara,nahitaji hilo jiko...njoo PM tutete
 
Kunyonyolea ndio nini mkuu!
 
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Back
Top Bottom