Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 728
Habarini wakuu,
Natumai mu wazima wa afya njema. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada twaja.
Nadhani tunamhamu bwana Kigosi ambaye wanamwita Ray. Wakuu hili halina ubishi huyu bwana ni bingwa wa movie za kuongoza makampuni na kukaa ofisini. Na hata ukimsikiliza pindi akiwa ameshika uhusika kwenye movie zake, hakika lazima uelewe kile alicho kenya.
Kwa hivyo mimi naweza kusema huyu bwana ana karama na weledi wa kuwa kiongozi serikalini.
Mnaonaje tumpe Ubunge wakuu.
Ni hayo tu.