Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 728
Kweli mbona kama ana ujasiri sana.Mama weeee!,
Kama ukimuangalia vizuri hata kwenye camera hajiamini,huyu hajui chochote,kwenye hiyo tasnia,mnampamba tu
Angalia Fulani yake yoyote,elekeza macho Sana kwake,eye to eye Ile ya kipelelezi,utagundua kuwa Ana chekechea Sana hayuko seriously,fanya hivyo,itakuja aamini tu.Kweli mbona kama ana ujasiri sana.
Kwani haiwezekani?Mara ya mwisho kuangalia Bongo movie ni pale jamaa alipofika hospitali na akapewa taarifa kuwa mgonjwa wake amefariki, ndio hapo jamaa akaanguka na kuzimia. Na nesi akapiga simu kuita ambulance. Mpaka leo sitaki kusikia kabisa habari za hawa watu.
Haaaaa Haaaaa 😂 jamaniBado anaish kwao sinza(kwa wazazi) au ameshaama??????
Vinsent hafai.Bora Wema SepetuHabarini wakuu,
Natumai mu wazima wa afya njema. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada twaja.
Nadhani tunamhamu bwana Kigosi ambaye wanamwita Ray. Wakuu hili halina ubishi huyu bwana ni bingwa wa movie za kuongoza makampuni na kukaa ofisini. Na hata ukimsikiliza pindi akiwa ameshika uhusika kwenye movie zake, hakika lazima uelewe kile alicho kenya.
Kwa hivyo mimi naweza kusema huyu bwana ana karama na weledi wa kuwa kiongozi serikalini.
Mnaonaje tumpe Ubunge wakuu.
Ni hayo tu.