mimi ni kinega lakini hali ya kutotaka kuungana na wenzao ili kujikomboa ina nitia wasiwasi. badala ya kupambana kukomboa mziki wa bongo wao wanapambana eti nani ni mwanzilishi wa hiphop bongo. kua mwanzilishi wa hiphop si dili kwani hata wana hiphop wakifa hiphop itaendelea kuwepo. mi naona waungane wote wenye mapenzi mema na mziki wa bongo wasio jua waelimishwe ili kupata support. LAKINI vilevile hiyo wanayofanya ndo hiphop yenyewe. hakuna bifu hakuna hiphop. hiyo truck itatangaza vinega sana. Mia
Halafu kitu kingine ni kny uzinduz wao wa dsm haawajapandisha underground hata mmoja.. Yaan show nzima wamepiga wao.. Kibongobongo hatuend hvo aisee..
mimi ni kinega lakini hali ya kutotaka kuungana na wenzao ili kujikomboa ina nitia wasiwasi. badala ya kupambana kukomboa mziki wa bongo wao wanapambana eti nani ni mwanzilishi wa hiphop bongo. kua mwanzilishi wa hiphop si dili kwani hata wana hiphop wakifa hiphop itaendelea kuwepo. mi naona waungane wote wenye mapenzi mema na mziki wa bongo wasio jua waelimishwe ili kupata support. LAKINI vilevile hiyo wanayofanya ndo hiphop yenyewe. hakuna bifu hakuna hiphop. hiyo truck itatangaza vinega sana. Mia
kwenye show walipanda underground kibao tu mbona!?D waGetto,Isanga family nk..kama hauna hoja ya kumchafua mtu ni bora kutulia tu kaka.
Hao wajiitao vatoloco mapumbavu..., wamemaliza show tu wakaanza mutaka hela Yao wakati mpango ulipangwa wasanii walipwe Kesho yake baada ya mahesabu., na waliambiwa wapi wameet.... Wamejiaibisha na wanataka kujulikanika kupitia mgongo Wa vinega..., na watu wamewajua baada ya mkasa wao.. Kwanza show Yao ilikuwa mbovu., bora hata hizo lawama zingetolewa na veejay, spark doggy au hata ghetto diva.., hao ndio wasanii nje ya vinega waliokinukisha..!
hakuna kinega asiyetaka kuungana na wenzao,ila wenzao ndio hawataki kuungana nao kwa uoga wao au sababu nyingine..mbona wameshawaomba machiz kibao kuwaunga mkono lakini wamechomoa,mtu kama Kalapina walishaongea nae akasema hawezi kuufanya harakati na wakuja,mtu kama JohMakini adi vikao vya Vinega alikuwa anaudhuria pale kwa Magenge......
Kina Afande,Inspekta,FA,Nature na wengine walipanga mipango mizuri na jamaa mwisho wa siku wakaishia kuwageuka tu..sasa mlitaka wawafunge minyororo???
Kumbukeni wasanii wetu ni waTZ na mnajua wabongo inapofikia hatua ya kupambana kwa vitendo,wengi sound nyingi utadhani wanaharakati kweli...
Nilishamsikia Roma kwa masikio yangu akiiongelea movement ya Antivirus anasema 'hakuna harakati kwenye njaa'..
roma mduwanzi tu!!.,he's not in the music he does.so wewe ukiisikiliza inkugusa mbaya ila yeye haimuhusu as anafanya tofauti na anachoimba!...anaweza hata osha viatu vya ruta kwa ulimi now that msela alimchomoa toka kwenye msala fulani bila hata kujali huyo jamaa ana usafi wa kiwango gani contrary to what he(roma)'s presenting!
Katika harakati zao za kuukomboa huu muziki na uzinduz wao wa Arusha, kund la VINEGA limeingia katika beef na VATOLOCO kundi linaloundwa na kina Ibra D Hustler.. haijafahamika clearly chanzo cha ugomvi ni nini lakini aliwahi kukaririwa Adili wa vinega akimshutumu mmoja wa wasanii wa Arusha, Fido. VATOLOCO wanarelease leo track inaitwa NJAA ZA VINEGA ambayo imefanyika Noizmekah R chuga.. Sasa hawa VINEGA wakianza beef namna hii tutafika kweli, au hizi harakat n za kuwanufaisha wao tu then wale chocho wakishapata vyao.???