Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
hili beef limeingia hatua mpya leo baada ya FI DO wa vatoloco kuhojiwa na radio ya watu kipindi cha power breakfast na kumponda sana Adili wa VINEGA.... hivi hiz bifu zitaisha lini??? Naanza pata wasi huyo FIDO ni mamluki
Me nimegundua kua Fido ameona njia rahisi ya kutoka, ni kuingia katka beef na vinega ili apate support ya clouds
kwani vinega wenyewe wametoka?kwamba wanaweza kutoa mtu akifanya bifu nao??
inawezekana unatamani kuwa kipofu tu.....
Hao vatoloco soya wajipange na post zao za kutumwa maana hata mtoa mada inaonesha yupo upande gani ukisoma post yake vzuri
Tatizo hata hao vinega hamna wasanii wa maana .........maana D wa ghetto, na jamaa wengine ni weupe tu.ila votoloco wanajua kuchana ingawa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.