Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
vinega washashndwa basi tu wanaona aibu kujirudi kwa clouds but watakuja tu kuomba msamaha yoohivi huu mpambano bado upo?
vinega washashndwa basi tu wanaona aibu kujirudi kwa clouds but watakuja tu kuomba msamaha yoo
Mara baada tu ya kumaliza tamasha lao pale k/nyama 26/11 vinega hawa j3 yake wakatangaza kuwa 'Mbeya your next' sasa mara baada tu ya clouds+airtel kutangaza kuwa tour ya Bongo50 itakwenda mbeya wiki hii,vinega hawa baada ya kufunikwa dar,wakaona mmmhhh bora wakimbilie Arusha..chek show zao zenyewe wanavyojikongoja tangu wafanye dar 26/11 wanapga A.town 18/12 sasa hadi kumaliza Tz nzma si itawachukua karne nzma?kwa nn wacwe kama fiesta au epiq nation?kila week show? sa sijui watawakimbia mpaka lini?yoo!!