Utakuwa unamaanisha TV Box, hizi ni kama computer au simu iliyounganishwa kwenye TV, zinatumia Android mara nyingi na App ni kama za kwenye simu so zinakula data kama hivyo hivyo, zinahitaji wifi au wired internet, kama hauna unlimited internet utateseka. Haina "channel" ni juu yako kutafuta vitu vya kuangalia kama vile kwenye simu.
Bei zinatofautiana kuendana na uwezo wa processor n.k unaweza kucheki TV box aliexpress utaona.